Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Hamid Mahmoud, Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisikiliza hutuba ya Dk Shein
WAKE wa Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza hutuba ya Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein
MABALOZI wanaowakilisha Nchi zao Walioko Zanzibar wakihudhuria uzinduzi wa Kikao cha Nane cha Baraza la Wawakilishi kikizinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
No comments:
Post a Comment