Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Hamid Mahmoud, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdalla Mwinyi Khamis, Mstahiki Meya wa mji wa Zanzibar Mhe. Mahboub Juma Issa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Omar Makungu
Wakuu wa vikosi vya ulinzi nao pia walishuhudiaSalum Bimani nae alikuwepo katika kushuhudia kuapishwa kwa Makamo wawili wa Marais
Mwakilishi wa kuteuliwa Juma Duni nae pia alikuwepo
Baadhi ya Wabunge na Wawakilishi wa chama cha CUF pia walikuwepo
Picha na Ramadhan Othman
No comments:
Post a Comment