Habari za Punde

KWA WAKAAZI WA MJI MKONGWE- NI WAPI HAPA?

2 comments:

  1. Hapa ni Shangani ya Baghani; hii nyumba ya upande wa kushoto (kwenye waya wa vyumba-vyumba) ni nyumbani kwa dokta Duchi na huko anapoelekea anayeendesha vespa, ukipinda upande wa kulia unaelekea kwa Adinani muuza mbatata.

    ReplyDelete
  2. Hapo ni mji mkongwe :-)))))

    Makame bin Mchambawima

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.