Habari za Punde

UTANI HUU UNAKUBALIKA KATIKA MTAZAMO WA KIDINI?

Hawa vijana  katika mji mmoja nchini Uingereza wanajidai wanasali wakiwa na Imam wa theluji waliemtengeneza wao wenyewe na kisha kumfuata wakiwa katika tashahhud (attahiyyaatu).Wengine wakionesha nyuso za tabasamu huku 'wanasali'

 

4 comments:

  1. wambiye wachezee walikotoka wasichezee dini limbukeni wa theliji

    ReplyDelete
  2. hawakusoma dini yao ndiyo maana wanafanya thihaki kama hawana chakuchezeya wakawafunuwe mama zao wawachezee pumbavu

    ReplyDelete
  3. kwa kuwa mko ulaya ndio mnaona mungu hayupo ama !!! sio nyinyi wa kwanza kufika huko !! chezee ma..v...zi sio mungu watovu wa adabu nyie

    ReplyDelete
  4. Nyie bwana hamwajuwi hawa wahindi wa uk wao ndo wa mwanzo wanojenga miskiti kila pahala uk na wao ndo wanajifanya waislam wenye msimamo mkali, lakini huwezi amini unaweza kuingia mskitini ukamuona mtu kakaa nyumba ya imamu yaani (maamuma) kisha kavaa bonge la cheni na katoboa maskio yote mawili kavaa na herini, na hao hao ndo wenye maduka makubwa ya pombe, sasa apo jiulize wewe uislam uko wapi? ukipata jibu bas utapata jibu la uyo snow imam.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.