Rais wa Zanzibar wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dr.Sander Gurbuz aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dr.Sander Gurbuz.
Rais wa Zanzibar wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dr.Sander Gurbuz aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment