KATIBU wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Shekh Soraga akimkabidhi mmoja wa walimu wa Vyuo vya Kuran katika jimbo hilo ulioanzishwa na Mbunge na Mwakilishi wa jimbo hilo, kila mwanafunzi wa vyuo hizo hulipiwa shilingi mia tano, uzinduzi huo umefanyika Ofisi ya jimbo hilo Mpendae.
KATIBU wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh. Fadhil Soraga akitowa mawaidha kuhusiana na utoaji wa elimu ya dini katika uzinduzi wa mfuko wa Malipo kwa walimu wa vyuo vya Kuran katika Jimbo la Mpendae.
MWAKILISHI wa Jimbo la Mpendae Mohammed Said Mohammed akitowa nasaha zake kwa Walimu wa Vyuo vya Kuran katika sherehe za uzinduzi wa mfuko wa jimbo la kuwalipa walimu hao.
WALIMU wa Vyuo vya Kuran wakiitikia duwa.
BAADI ya walimu wa Vyuo vya Kuran katika jimbo la Mpendae wakimsikiliza Katibu wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh. Soraga akizinduwa mfuko huo.
No comments:
Post a Comment