Kijana kwenye picha ni Maalim Haji Makame Ussi wa SUZA. Yupo USA ( Marekani) kutoa mafunzo yatakayosaidia kufundisha Kiswahili kwa wageni akiwa katika mhadhara na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Indiana - Indiana University kitengo cha Lugha ambacho mkuu wake pia ni Mzanzibari Bi Alwiya Omar.
Kwa maelezo zaidi ingia kwenye link hii hapa chini
http://www.idsnews.com/news/story.aspx?id=79187&search=zanzibar§ion=search
Hongera kijana na waalimu wote wa kiswahili waliopo nchi za nje ...hii ndio moja kati ya lugha kubwa kwa Afrika
ReplyDelete