Naam linaitwa dafu lakini hili si la kitamli na lina kila aina ya sifa ukitaka la nyama laini au nyama nzito ya kushibisha na kinywaji natural cha kuburudisha koo. Moja shilingi ????
SASA ndio msimu wa matunda haya ya Fenesi katika kisiwa chetu cha Zenj na Mdau huyu akifanya biashara ya matunda hayo katika mitaa ya darajani na kipande kimoja huuza shillingi 200/=.
MFANYABIASHARA ya kutembeza matunda ya Mananasi akitembeza matunda hayo kutafuta wate wake katika mitaa ya magomeni kutokana na bidhaa hiyo kuwa nyingi sokoni wakati huu wa msimu wake katika visiwa vya Unguja na Pemba
No comments:
Post a Comment