Habari za Punde

TUKISUBIRI WATEJA

MAFUNDI Seremala wakiwa katika mnada wa Darajani wakiwa na Vitanda vyao wakisubiri wateja wa bidhaa hiyo kitanda kimoja cha futi tano huuzwa shillingi laki moja katika soko hilo la mnada.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.