Habari za Punde

UJUMBE WA IJUMAA

Nakuletea zawadi nami niko ibadani

Nimeinuka kusudi kwa kumuomba Manani

Na du’aa ya kusujudi hairudi asilani

Naomba na kuhimidi kwake yeye Rahmaani

Atubariki wadudi na kheri la kila fani

Mashikamano yazidi hapa na hadi peponi

IJUMAA NJEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.