Habari za Punde

DK SHEIN AKIKAGUA MADHARA YA MABOMU


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Tanzania Davis Mwamunyange. Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dk Hussein Mwinyi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed shein,akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),Jenerali Davis Mwamunyange,alipotembelea kikosi cha 511 kj,kilicho kilichopata mripuko wa mabomu juzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Wabunge Abass Mtemvu,baada ya kuonana na wananchi waliopata athari za Milipuko ya mabomu katika hospitali ya Temeke jijini Dar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Devis Mwamunyange,wakati alipotembelea kambi ya Kikosi cha 511kj, iliyopo Gongo la mboto jana,kuona hali halishi ya athari za ulipukaji wa mabomu katika kambi hiyo

Mabaki ya mabwalo yaliyokuwa na vifaa mbali mbali vya kijeshi baada ya mlipuko wa mabomu juzi

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.