Habari za Punde

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MABOMU

 Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete alipotembelea hospitali ya manispaa ya wilaya ya Temeke kuwapa pole majeruhi wa mabomu yaliyotokea Gongo la mboto Jijini Dar es salaam 17.2.2011


  Rais Jakaya Kikwete akimlisha chakula mtoto Sarafina Idd miaka mitatu (3) Mkazi wa Gongo la Mboto kituo kipya alipowatembelea majeruhi wa Mabomu waliolazwa Hospitali ya manispaa ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete Akiwafariji na kuwapa pole mtoto Aisha Omary miaka minne (4) na Mama yake Ester Kilochi wakazi wa Gongo la mboto Moshi bar wakiwa wamelazwa Hospitali ya wilaya ya Ilala Dar es salaam 17.2.2011


PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.