Habari za Punde

DK SHEIN ALIPOWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MABOMU HOSPITALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed shein,akisalimiana na Viongozi katika Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam jana,alipofika kuwapa pole wananchi walioathirika na mripuko wa Mabomu,katika kambi ya jeshi la wananchi,JWTZ,kikosi cha 511 kj Gongola mboto  juzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein akisikiliza maelezo ya maendeleo ya waathirika wa mabomu kutoka kwa Daktari mhusika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed shein,akimfariji  Victa Charles akiwa na mtoto wake,wakiwa katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam,baada ya kuumia kutokana na Mlipuko wa wa mabomu katika kambi ya jeshi Gongo la Mboto Kikosi cha 511 kj juzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimfariji Felsya Majiji,akiwa ni miongoni mwa wananchi walioathirika katika mripuko wa mabomu ya kambi ya Jeshi la wananchi wa Tanzania,JWTZ Gongo la mboto 511kj, huko Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam jana,alipofika kuwaona majeruhi mbali mbali.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.