Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA SADC NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo Tanzania,Balozi wa Tanzania nchini Congo,Juma Alfani Mpango,alipokuwa na mazungumzo na Mabalozi hao jana,Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi za SADC waliopo Tanzania,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kwa mazungumzo na Rais 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo Tanzania,Balozi wa Tanzania nchini Congo, Juma Alfani Mpango,walipofika Ikulu kuonana na Rais jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.