Habari za Punde

UZINDUZI WA NGO YA MISS AFRIKA AUSTRALIA ZAITUNI HUNT

MISS Afrika Australia Zaituni Hunt, akizinduwa NGO  yake na kuzungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi, baada ya kuzinduwa NGO yake na kutowa maelezo ya kazi itakayofanya kwa jamii Zanzibar.   

KATIBU Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar   Ali Khalil Mirza akimpongeza Mzanzibari  Zaituni Hunt anayeishi Nchini Australia kushindi Taji hilo lililowakutanisha karibu Warembo 400 kuwania taji hilo wanaotoka nchi za Afrika.  
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto Rahma Mshangama, akipokea katiba na hati ya utambulisho wa NGO iliyoundwa na 'Miss Africa Australia' Zaitun Hunt, itakayoshughulikia vijana na watoto mayatima hapa Zanzibar. Hafla ya uzinduzi wa jumuiya hiyo ilifanyika  katika hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, kushoto Mama wa Miss Afrika Amina Bilal Pira. (Picha na Zanzibar Cable Television).

1 comment:

  1. MASHAALLAHU MTOTO MZURI. Mzee Nipo online katika chatroom yangu swahilivilla. kama una lolote nipo moda hii Ahsante!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.