Habari za Punde

MAMBO YA KUJAZA FOMU ZA KUOMBA KURUDIA BAADHI YA MITIHANI.

BAADHI ya Vijana  waliomaliza skuli kidatu cha Nne hawakubahatika kuendelea kidatu cha Sita kutokana na kutofaulu masomo yao kuwa na maksi (alama) kidogo wakijaza Fomu za kuomba kufanya Mtihani wa Kidatu cha Nne wakijaza fomu ili kuzituma kwa nja ya Posta wakiwa katika Posta ya Shangani wakijaza fomu hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.