NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad akimkabidhi Kikombe cha Ubingwa wa Netiboli timu ya Habari X. Bakari baada ya kuifunga timu ya MCC kwa mabao 27-12 |
NAIBU Waziri wa Habari, utamaduni Michezo na Utalii, Bihindi Hamad akimkabidhi Kikombe cha Ubingwa wa Bonanza Nahodha wa timu ya TVZ Mzee Ali, baada ya kuifunga timu ya MCC.
WANAHABARI Wanawake wakishiriki shindano la kukuna nazi katika tamasha la bonaza lilofadhiliwa na Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ
WANAHABARI Wanawake wa vyombo mbalimbali vya habari wakishiriki mbio za kufukuza Kuku
WASHIRIKI wa mbio za Mbatata wanawake wakishindana katika mbio hizo na mchezaji wa Zanzibar leo Mwanajuma Abdi ametokea Mshindi wa kwanza
WACHEZAJI wa timu ya Zanzibar leo Wanawake kuvuta kamba kulia na timu ya STZ kushoto wakiwa katika mpambano wa kuvuta kamba na timu ya Zanzibar leo imeshinda mchezo huo
No comments:
Post a Comment