Habari za Punde

UZINDUZI WA MGAO WA WANAVIKUNDI NA MAMA MWANAMWEMA SHEIN

 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizinduwa Kisanduku cha Wanavikundi cha Kufuli Tatu, akifunguwa kofuli wakati wa uzinduzi wa mgao wa Fedha kwa Vikundi hivyo uliofanyika katika viwanja vya skuli ya Msingi Fujoni na kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Tanzania Mama Asha Seif Iddi
  MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Mgao Mwanakikundi cha Maendeleo Halima Simai. katika sherehe za uzinduzi wa Mgao wa Wanavikundi uliofanyika  katika viwanja vya skuli ya msingi Fujoni
 Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wakishuhudia
MRATIBU Mradi wa Jumuiya ya ZAYEDESA  Mgoli Lucian akitowa maelezo kwa Wanajamii wa Kijiji cha Paje katika mkutano wa kuelimisha madhara ya dawa za kulevya na maambukizo ya Ukimwi kwa Vijana yaliofanyika katika kijiji cha Paje na kushirikiana na ICAP NA CDC

1 comment:

  1. Greetings from Finland. This blog is fun to explore, through other countries, people, culture and nature. Come take a look Teuvo pictures blog. Also tell all your friends why he must visit Teuvo pictures blog. Therefore, to obtain your country's flag rise higher Teuvo images to your blog flag collection. Have a wonderful weekend Teuvo Vehkalahti Finland

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.