MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizinduwa Kisanduku cha Wanavikundi cha Kufuli Tatu, akifunguwa kofuli wakati wa uzinduzi wa mgao wa Fedha kwa Vikundi hivyo uliofanyika katika viwanja vya skuli ya Msingi Fujoni na kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Tanzania Mama Asha Seif Iddi
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Mgao Mwanakikundi cha Maendeleo Halima Simai. katika sherehe za uzinduzi wa Mgao wa Wanavikundi uliofanyika katika viwanja vya skuli ya msingi Fujoni
Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wakishuhudiaMRATIBU Mradi wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mgoli Lucian akitowa maelezo kwa Wanajamii wa Kijiji cha Paje katika mkutano wa kuelimisha madhara ya dawa za kulevya na maambukizo ya Ukimwi kwa Vijana yaliofanyika katika kijiji cha Paje na kushirikiana na ICAP NA CDC
Greetings from Finland. This blog is fun to explore, through other countries, people, culture and nature. Come take a look Teuvo pictures blog. Also tell all your friends why he must visit Teuvo pictures blog. Therefore, to obtain your country's flag rise higher Teuvo images to your blog flag collection. Have a wonderful weekend Teuvo Vehkalahti Finland
ReplyDelete