Habari za Punde

ZANZIBAR OCEAN VIEW YALALA GOLI 3-0 NA A S VITA

Taarifa nilizozipata timu yetu ya Ocean View imelala kwa goli 3-0 na A S Vita ya Wakongo na hivyo kuaga mashindano kwa jumla ya 4-1 baada ya kulazimisha sare katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.