Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania,Alexander A. Rannikh, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kuonana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania,Alexander A. Rannikh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kuonana na Rais.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment