RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,(kulia) akibadilishana mawazo na Henry Bellingham (Mb) Waziri wa Uingereza anaeshuhulikia masuala ya Afrika,(katikati) Balozi wa Uingerza nchini Tanzania Diane Corner, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment