Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mwenyekiti wa mkutano wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,alipofungua mkutano huo wa siku tatu, katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,jana
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,Nje ya Mji wa Zanzibar
Watendaji wakuu wa Mawizara ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel
Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee, akimkaribisha Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein, akiwa Mwenyekiti wa mkutano wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,
Mwakilishi wa Jumuiya ya Madola kwa nchi za Afrika ya Mashariki, Dunstan Maina,akitoa salamu za jumuiya katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika Ukumbi wa Mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel, Nje ya Mji wa Zanzibar.
Wajumbe waalikwa wa Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,unaofanyika Nje ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment