Habari za Punde

DK SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JUWAPO - FUONI KIBONDENI

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo la JUWAPO Fuoni kibondeni Wilaya ya Magharibi
Dk Shein akipata maelezo kutoka kwa Juma Ali Juma, mwanakikundi wa Jumuiya wa wafugaji ngombe wa Maziwa JUWAPO kuhusu utengezaji wa mtindi kwa kutumia mashine maalum za kisasa.

Picha na Ramadhan Othma, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.