Habari za Punde

MKUTANO WA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA WETE

 Viongozi wa CCM Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao jana katika ukumbi wa  Benjamin William Mkapa Wete,akiwa katika ziara za kuimarisha Chma cha Mapinduzi katika Mikoa ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,akiteta jambo ma Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai,katika mkutano wa  Viongozi wa CCM Wilaya ya Wete Pemba, katika ukumbi wa Benjamin William Mkapa Wete jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein, akipokea Ripoti ya Chama Wilaya ya Wete kutoka kwa ,Hassan Vuai Nyomboa, Katibu wa CCM Wilaya ya Wete, katika mkutano wa Viongozi wa Wilaya hiyo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Ukumbi wa  Benjamin William Mkapa Wete Pemba.

Picha na Ramadhan Othman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.