Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk AmaanAbeid Karume,(katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,DkAli Mohamed Shein,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia),kwa pamoja waiimba wimbo wa chama kabla ya kuanza kwa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume,akiendesha kikao cha siku moja cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya taifa ya Zanzibar katika ukumbi wa CCM Kisiwandui jana,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,DkAli Mohamed Shein,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe waKamati Kuu ya CCM Taifa,DkAli Mohamed Shein,akisalimiana na wajumbe kikao cha siku moja chaKamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana
Wajumbe wa kikao cha siku moja chaKamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,wakisikiliza mada zinazotolewa katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment