Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,baada ya mazungumzo yao jana.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment