Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Madaktari Bingwa,ambao pia ni wataalam kutoka taasisi mbali mbali duniani , walifika kisiwani Pemba kwa lengo la kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa ‘Maabara ya Afya ya Jamii’ (PHL), huko Ikulu ndogo ya Chake chake PembA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Madaktari Bingwa,ambao pia ni wataalam kutoka taasisi mbali mbali duniani , walifika kisiwani Pemba kwa lengo la kuazimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa ‘Maabara ya Afya ya Jamii’ (PHL), huko Ikulu ndogo ya Chake chake Pemba
Picha na Ramadhan Othman , Pemba
No comments:
Post a Comment