Habari za Punde

WAFANYABIASHARA YA KOFIA DARAJANI WAKIWA KIJIWENI KWAO WAKIFANYA BIASHARA YAO

KOFIA ni moja ya utamaduni wa Zanzibar na hutumika wakati wa harusi na katika kipindi hichi cha Mwezi wa Ramadhaan na huvaliwa na wakati mwengine, biashara hii hufanyika maeneo ya Darajani kwa Bakhressa kofia moja huuzwa shillingi 30,000/ mpaka 60,000/ inategemea na na ubora wa ushonaji wake wa mauwa. Kuna kofia ya lozi na kadhalika.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.