MKE wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Watoto yatima wanaolelewa katika nyumba hiyo alipofika kujumuika nao katika futari alioanda kwa ajili yao.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamema Shein akijumuika na Watoto wanaohudumiwa na serikali katika Nyumba ya Watoto yatima Mazizini, alipofika kujumuika nao katika futari aliowaandalia jana.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wa pili kushoto, Mke Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi Seif na kulia Mtoto Farida Abdalla Ali anayeishi katika nyumba hiyo na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif wakimsikiliza mmoja wa watoto wa yatima akitowa shukrani kwa Mke wa Rais wa Zanzibar baada kufutari.
WATOTO wa Nyumba ya Serikali ya Watoto yatima Mazizini wakipata futari iliyoandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
HIVI ndivyo ilivyokuwa katika mambo ya futari nyumba ya watoto mazizini.
Watoto wakijichana kwa msosi maalum kwa ajili yao walioandaliwa na Mama Mwanamwema Shein.
HAYA hii juice yako ndivyo inavyoonekana akisema muhudumu huyu wa Ikulu kwa watoto hawa wakijipatia futari katika mjengo wao Mazizini.
No comments:
Post a Comment