Habari za Punde

DK SHEIN AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA, RUFIJI


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED SHEIN AKIFUNGUA PAZIA KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA KATIKA KIJIJI CHA NYAMISATI RUFIJI MKOA WA PWANI,(KUSHOTO) MAMA SALMA KIKWETE MWENYEKITI WA WAMA.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED SHEIN, AKIKATA UTEPE KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA KATIKA KIJIJI CHA NYAMISATI RUFIJI MKOA WA PWANI,(KATIKATI) MAMA SALMA KIKWETE MWENYEKITI WA WAMA,NA (KUSOTO) MAMA MWANAMWEMA SHEIN MJUMBE WA BODI YA WAMA

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED SHEIN,(KULIA) MWENYKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE,MAMA MWANAMWEMA SHEIN,MAMA BILALI NA MWALIMU MKUU WA SKULI YA WAMA NAKAYAMA, TWAHA A.TWAHA,PAMOJA NA WAALIKWA WAKIMUANGALIA MWANAFUNZI MWANAHAMIS LIPAMBI WA DARASA LA KUMI NA MBILI AKIWAELEZEA SOMO LA CHEMISTRY,WAKATI ALIPOTEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI ZA SKULI HIYO BAADA YA KUIZINDUA RASMI JANA .

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED SHEIN,(KATIKATI) MWENYEKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE,(KUSHOTO) MKUU WA MKOA WA PWANI,ZAKIA MAHIZA , MAMA MWANAMWEMA SHEIN,(KULIA) NA MWALIMU MKUU WA SKULI YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA TWAHA A.TWAHA,WAKITEMBELEA MAENEO YA SKULI HIYO BAADA YA KUIFNGUZI RASM



Picha na Ramadhan Othman, Rufiji

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.