Habari za Punde

WAWANANCHI WA KIJIJI CHA NUNGWI BADO WAKIWA KATIKA MAENEO YA UFUKWE WA NUNGWI KUJUWA HATMA YA WAHANGA WA AJALI.


WANANCHI wa Kijiji cha Nungwi wakiwa katika ufukwe wa bahari hiyo wakisubiri matokea ya  zoezi la uokowaji wa miili ya watu waliokuwemwe katika meli hiyo iliozama wiki iliopita.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.