Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akizungumza na Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshuhulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akifuatana na mgeni wake Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshuhulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana baada ya mazungumzo yao.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment