Mfanya biashara ya Mikate ya Boflo akiwa katika pirika za kutafuta wateja huku akijisomea Gazeti kujua kinachoendelea katika habari kama alivyokutwa katika mitaa ya Marikiti na tenga lake.
MBUNGE KAWAWA AKABIDHI DAWA NA VIFAA TIBA VYA MILIONI 14.5 ZAHANATI YA
LUANGANO
-
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, Vitta Rashid Kawawa, amekabidhi
dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 14.5 kwa Zahanati ya
Luan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment