Habari za Punde

OFISA WA HABARI NA SIASA WA UBALOZI WA UINGEREZA TANZANIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI.


MKUU wa Kitengo cha Habari na Siasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania Mark Polatajko akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya  Habari Maelezo Rahaleo ujio wa Mwana Mfalme wa Uingereza Zanzibar kushoto Mkurugenzi wa Maelezo Yussuf Omar Chunda, anayetarajiwa kutembeleza Visiwa vya Zanzibar.
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakimsikiliza Ofisa Habari wa Ubalozi wa Uingereza katika Ukumbi wa Maelezo Zanzibar.

1 comment:

  1. Mbona wana nyuso za huzuni au ' Lugha ya motoni' haipandi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.