Habari za Punde

KIKAPU WANAWAKE PEMBA WAZAWADIWA


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Kikapu Zanzibar (BAZA) Pemba Asia Ibrahim, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, kikombe cha ushindi wa pili wa michuano ya Taifa Tanzania iliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam ambapo timu
mchanganyiko ya wanawake Pemba ilishindwa katika fainali. 

(Picha na Haji Nassor).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.