Baadhi ya washiriki wa Kongamano la siku tatu lililokuwa likizungumzia athari za Mabadiliko ya hali ya hewa wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Samia Suluhu Hassan hayupo pichani katika Kongamano hilo lililofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Samia Suluhu Hassan akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kufunga Kongamano la siku tatu lililokuwa likizungumzia athari za Mabadiliko ya hali ya hewa ambalo limefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
PICHA ZOTE NA Hamad Hija-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment