Habari za Punde

MKUTANO WA BARAZA KUU LA UVCCM MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, AKIFUNGUWA Mkutano wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi za CCM Jimbo la Kitope Kinduni
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakimsikiliza Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akifunguwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Jimbo la Kitope Kinduni.     
Mjumbe wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,Subira Mohamed,akitowa shukrani kwa niaba ya wajumbe wazeka baada kufunguliwa kwa Mkutano wao. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.