WANANCHI WAASWA KUTUMIA NAMBA YA MALIPO WANAPOLIPIA HUDUMA ZA SERIK
-
Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na TEHAMA wa
Wizara ya Fedha, Bw. Charles Maganga (kulia), akitoa maelezo kuhusu umuhimu
wa...
31 minutes ago
Kazi inafanyika, lakini kuna baadhi ya mambo yanarudisha nyuma. mfano, daraja madhubuti, barabara safi, lakini serikali bado inaona aibu kuwambia wananchi waache kujenga nyumba zao karibu na barabra..hebu angalia eh..!
ReplyDeleteTena, inasemekana sheria zipo tokea ukoloni, ni suala la kuwaelimisha wananchi tuu kupitia vyombo vya habari. ili kuepuka kuwavunjia tena wananchi na kuitia hasara serikali, tukija kutaka kupanua tena barabara siku za mbele.
safi sana mapinduzi daimaa
ReplyDelete