Habari za Punde

DARAJA JIPYA LA MWERA LIKITOWA HUDUMA KWA WATUMIAJI WA NJIA HIYO.

2 comments:

  1. Kazi inafanyika, lakini kuna baadhi ya mambo yanarudisha nyuma. mfano, daraja madhubuti, barabara safi, lakini serikali bado inaona aibu kuwambia wananchi waache kujenga nyumba zao karibu na barabra..hebu angalia eh..!

    Tena, inasemekana sheria zipo tokea ukoloni, ni suala la kuwaelimisha wananchi tuu kupitia vyombo vya habari. ili kuepuka kuwavunjia tena wananchi na kuitia hasara serikali, tukija kutaka kupanua tena barabara siku za mbele.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.