Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) akiwa na Baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake ya Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar,wakiwa katika mkutano wa utekelezaji mpango wa kazi za Ofisi hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Dk. Ali Shein,huko Ikulu
Mjini Zanzibar jana



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.