Habari za Punde

Matokeo ya Kidato cha Nne Yatangazwa Rasmi Yawekwa Live

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA RASMI NA YAWEKWA LIVE

Kwanza tunapenda kuwasalimu wakubwa Shikamoo na vijana wenzetu wote mambo vipi? Kwa Heshima na Taadhima timu nzima ya Matukio na wanavyuo (www.tzwanavyuo.blogspot.com)  tunapenda kuchukua nafasi hii ya Kipekee na kwa niaba ya Baraza la mitihani Tanzania kuweka hewani moja kwa moja matokeo ya kidato cha nne ambapo watahiniwa walifanya mitihani hiyo mwaka Jana 2011. Hongera sana kwa wote walio fanya vizuri na kwa wale walio Feli tunawapa pole na wafanye bidii kurudia tena mitihani hiyo.



Imetolewa na Matukio na wanavyuo Crew

Website: www.tzwanavyuo.blogspot.com
E-mail: twanavyuo@live.com

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.