Mkurugenzi wa Sauti za Busara Zanzibar DJ. Yussuf akjizungumza na Waandishi wa habari.kuhusu uzinduzi wa Tamasha hilo hapo kesho kwa kuaza kwa maandamano ya Wasanii mbalimbali litakaloazia Viwanja vya Kisonge Michezani hadi viwanja vya Ngome Kongwe Forodhani.
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wa Sauti za Busara Zanzibar DJ. Yussuf.
Waandishi wa Habari kutoka Nje ya Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi wa Sauti ya Busara Zanzibar Dj. Yussuf, katika Mkutano na Waandishi kuhusu ufunguzi wa Tamasha hilo kesho litaazia Michezani Kisonge na Kumalizia Gome Kongwe Forodhani.
No comments:
Post a Comment