Meneja wa benki ya NMB kanda ya Dar-es-Salaam Salie Mlay akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini’B’ Vuai Ali Vuai Viti na meza 50 kwa ajili ya skuli ya Mwangapwani na Bumbwini,kushoto Mwalimu Mkuu Skuli ya Bumbwini Kijakazi Hamis Amini,

(Picha na Yusuf Simai Idra ya Habari Maelezo).
No comments:
Post a Comment