MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Amour Juma Amour (katikati) akimkabidhi mfano wa hundi ya dola za kimarekeni Elfu Tano Katibu Mkuu wa timu ya Jamhuri ya Pemba Omar Ahmed Awadh,kwa ajili ya kushiriki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika,(Picha na Abdallah Masangu).
Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD Wahitimishwa Jijini
Yokohama
-
Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu
Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development)
umehi...
8 hours ago
Ama kweli ushindani ni muhimu ktk. kila jambo.
ReplyDeleteyaani PBZ walikua ndio benki pekee kubwa na maarufu Z'BAR hapa lkn. tulikua hatuoni harakati za namna hii, ila saivi wanajikurupusha!