Habari za Punde

PBZ Yaipiga Tafu Timu ya Jamhuri

MENEJA Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Amour Juma Amour (katikati) akimkabidhi mfano wa hundi ya dola za kimarekeni Elfu Tano Katibu Mkuu wa timu ya  Jamhuri ya Pemba Omar Ahmed Awadh,kwa ajili ya kushiriki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika,(Picha na Abdallah Masangu).

1 comment:

  1. Ama kweli ushindani ni muhimu ktk. kila jambo.
    yaani PBZ walikua ndio benki pekee kubwa na maarufu Z'BAR hapa lkn. tulikua hatuoni harakati za namna hii, ila saivi wanajikurupusha!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.