Habari za Punde

Ajali ya Gari Mchangani

Wananchi wakitowa msaada gari ilioacha njia na kuingia katika kolongo jirani na uwanja wa Daizi Mchangani, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa na hatimai wamefanikiwa kuitowa katika kolongo hilo, barabara hiyo ya Malindi inafanyiwa matengenezo makubwa ya kuwekewa lami mpya ili kuimarisha miundombinu ya barabara za mjini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.