Habari za Punde

Bonanza la Stone Town Youth Center Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni akisalimiana na Wachezaji wa Stone Town Youth Center, katika  mchezo wa Fainali wa Bonaza uliofanyika Uwanja wa Ujamaa Mnazi mmoja, timu ya Kombani ya Mjini imeshinda 6--5.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni, akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kombani ya Mjini kabla ya kuanza mchezo wa Fainali na timu ya Stone Town Youth Center. 
Wachezaji wa Stone Town wakisalimiana na wachezaji wa timu ya Kombani ya Mjini, kabla ya kuanza mchezo wa Fainali ya Bonaza la Stone Town Yuoth Center, lililofanyika uwanja wa Ujamaa Mnazi Mmoja.   
Hivi ndivyo ilivyokuwa mchezo wa fanali wa Bonanza la Stone Town Center, uliofanyika uwanja wa Ujamaa Mnazi Mmoja, timu ya Kombani imeshinda kwa peneti 6-5.  

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Stone Town Center, Nahodha wa timu ya Kombani Hilika Hamad.  
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni, akimkabidhi mshindi wa Pili wa Bonaza la Stone Town. Nahodha wa timu ya Stone Town zawadi ya Mpira.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.