
Mjumbe wa Kamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Mbarouk Mtando akitoa Ufafanuzi wa Masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya Taasisi.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati Omar Ali Shehe.

Makamo mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Fatma Mbarouk akitoa Ufafanuzi wa Masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya Taasisi.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati Omar Ali Shehe

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Omar Ali Shehe akitoa Ufafanuzi wa Masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya Taasisi. kulia kwake ni Makamo Mwenyekiti wa Kamati hio Fatma Mbarouk na kushoto ni Mjumbe wa Kamati Mbarouk Mtando

Baadhi ya Wajumbe na Waandishi mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano waKamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi akitoa uliofanyika huko mbweni katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo
No comments:
Post a Comment