Habari za Punde

Prof. Idris Ahmada Rai Afungua Warsha ya Mitaala (SUZA)

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ( SUZA) Prof Idrisa Rai Akifungua Warsha ya siku tatu Juu  ya Kutayarisha Mitaala ya Masomo ya Uzamili na Uzamivu ya Chuo cha SUZA, Prof. Mohammed Bakar (kulia)na Prof Farouk Topan pROFKiswahili Chuoni hapo  Mitaala


 Maprofesa Mohammed Bakar na Prof Farouk Topan, wakimsikiliza Profesa Idris Ahmada Rai, akifunguwa Warsha ya siku tatu ya kutayarisha mitaala ya masomo ya Uzamili na Uzamivu katika Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA. 

Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo. Prof. Idris Ahmada Rai akifunguwa Warsha hiyo.
 Wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha SUZA wakimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo akitowa hutuba katika ufunguzi waWarsha hiyo.  
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Prof Idrisa Rai Akifungua Warsha ya siku tatu Juu ya Kutayarisha Mitaala ya Masomo ya Uzamili na Uzamivu ya Chuo cha SUZA, Prof. Mohammed Bakar (kulia) na Prof Farouk Topan, baada ya kufunguwa  kwa warsha hiyo inayofanyika katika ukumbi wa Kampasi ya Nkrumah.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.